Mda wa mabadiliko ni kwa mda gan???? Na utumiaj unakuwa wa mahisha yote ama?? Katika blogu hii nimetoa takriaban mada sita 06 zinazohusu vyakula na aina mbalimbali ya mazoezi ambayo mwanaume akizingatia hakika hatokuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Leo nakuletea mada nzuri kuhusu namna ya kutengeneza chai ya viungo vya chakula ambayo mwanaume akiitumia atakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na atakuwa na nguvu kubwa za kiume.

Chai hii inaboresha shahawa za mwanaume kwa kiwango kikubwa kwa maana ya kuondoa tatizo la mbegu za kiume kuwa na umbo lisilofaa sperm abnormalitieskuongeza wingi wa mbegu za kiume ndani ya shahawa sperm count na kuongeza kasi ya mbegu za kiume kuogelea ndani ya uke wa mwanamke sperm motility. Chai hii itamfanya mwanaume kuwa rijali haswa kwani atakuwa na hamu kubwa ya kufanya mapenzi libidoataweza kuanza na kumaliza tendo bila kuishia njiani hali ambayo inawakera wanawake, inafanya uume kuwa mkubwa na inafanya uume kusimama haswaa kibabe na kufanya mashambulizi maridadi kunako sita kwa sita.

Kabla sijakueleza namna ya kuandaa chai hii napenda niwambie wanaume wenzangu kuwa matumizi ya chai na kahawa yenye caffeine sio nzuri kwao kwani huchangia kupunguza nguvu za kiume na kuzorotisha ubora wa shahawa. Wengi tumekuwa tukitumia chai au kahawa yenye caffeine bila kujua madhara yake kwetu wanaume. Watafiti nchini Italy waligundua kwamba hatari ya mwanaume kuwa na mbegu za kiume zisizo na ubora unhealthy sperm huongezeka kadri mwanaume huyo anapozidi kutumia chai au kahawa zaidi kwa siku.

Hatari hii pia huwakumba wanaume wanao tumia kilevi alcohol. Kadhalika wanaume wanaovuta sigara wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ubora wa shahawa na upungufu wa mbegu za kiume. Aidha uwezo wao wa kufanya mapenzi sexual performance hupungua. Bila kukuchosha kwa maelezo marefu napenda kukushauri wewe mwanaume kupunguza kabisa au kuachana na unywaji wa chai au kahawa yenye caffeine, uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe usiofaa.

Badala yake tumia chai hii ya viungo vya chakula. Ifanye iwe ndiyo chai yako kila siku asubuhi na jioni. Mimi binafsi nimeachana na chai au kahawa yenye caffeine.

Natumia chai ya viungo na situmii sukari ya kawaida, natumia asali kwenye chai yangu ya viungo. Nimeona mafanikio makubwa sana na nimeona leo nishiriki pamoja na wewe siri ya mafanikio yangu. Viungo hivi vinapatikana kwa urahisi sokoni au supermarket. Matumizi yake: chukua kiasi cha mchanganyiko wa viungo hivyo weka kwenye maji ya moto na weka asali badala ya sukari. Ukitumia hii chai hutodanganywa na watu wanaonadi dawa za kuongeza nguvu za kiume, kuongeza hamu ya tendo au kurudia tendo na ubora wa shahawa kwa maana kwamba hutopoteza pesa yako kununua dawa zao!

Isitoshe jiulize Je, hizo dawa au tiba zinazouzwa na watu hao ni salama? Zimehakikiwa na watalaamu wa Chakula na Dawa katika nchi unayoishi?

Labels: MapenziUzazi. Unknown 5 August at Unknown 14 August at Dr kanyat 19 October at Unknown 3 April at Unknown 22 December at Unknown 12 June at Unknown 10 September at Unknown 10 August at Unknown 1 March at Unknown 30 January at Kupata dawa ya hips shape na kuongeza Cd 4 za ukimwi.

Ahsante kwa maelezo mazuri kazi kwetu kuchukua hatua. Naona raha kusoma makala kwenye mitandao Dr usichoke endelea kutuletea yani hapa kila mwanamume lazima aguswe. Dawa hii ya msamitu inapatikana katika maduka ya Sawa? Ni maelekezo mazuri sana lakini mafuta ya habitat soda na Unga wa msamitu unapatikanaje. Nashukuru sana kwa elimu yako nzuri, lakini napenda kujua no vyakula gani vitasaidia kuongeza nguvu za kiume au mtiririko wa damu kuwa mwepesi?

uti na nguvu za kiume

Nashukuru kwa somo zuri nimejifunza kitu, swali langu mimi huwa nahema sana baada yakumaliza tendo la ndoa, je shida ni hiyo ambayo sifanyi mazoezi au laa? Afya Yako. Header Ads.

Mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume. Love PM. Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym.

Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume. Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine.

Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha. Nguvu za kiume pia siyo idadi ya mabao. Hilo ni mhimu kwanza ulielewe. Unaweza kwenda mabao hata manne na bado ukaonekana huna nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni muda gani umetumia kubaki hapo mchezoni ndiyo jambo la mhimu. Kama unafika mpaka magoli manne na kila goli unatumia dakika 3 au 4 kufika kileleni basi tunaweza kusema wewe huna nguvu za kiume.

Ila kama utaweza kwenda goli moja tu na likachukua dakika 10 au 15 au 20 hivi na kuendelea hakika tunasema wewe una nguvu za kiume. Tunaamini muda huo umetosha kuweza kumfikisha mwenza wako kileleni. Mwanaume pia utahitaji kujua dalili au ishara za mwanamke anapofika kileleleni. Bila kujua dalili au ishara za mwanamke anayefika kileleleni kazi bure.

uti na nguvu za kiume

Kumbuka pia tendo la ndoa siyo ugomvi. Wapo baadhi ya wanaume wanadhani ili umfikishe mwanamke basi unatakiwa umfanye kwa nguvu au kwa fujo sana utadhani ni ugomvi fulani hivi! Ndiyo hutakiwi ufanye kilegelege sana lakini pia huhitaji kufanya kwa nguvu kama vile ni ugomvi!

Tatizo ni hizo video feki mnazotazama mnadhani mapenzi ndiyo huwa hivyo jambo ambalo si kweli. Kila mwaka wasichana na wanawake wengi hutekwa na watu wasiojulikana sehemu mbalimbali duniani na baadhi yao hufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo vya kingono na hurekodiwa.Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi.

Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order? Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Ukwel ni kua mimi ni muathirika wa pony tatizo ni kuwa ukitazama 2 muv ya porny punyeto lazma yan nashndwa kuacha kaka. Pole kaka 'muathirika' na haupo peke yako, lakini wewe umeweza kuliweka hili bayana, na hii ni kwasababu unahitaji msaada. Tambua tatizo ni ubongo wako ambao tayari umeshatengeneza njia ya wewe kujiridhisha iweni kwenye porno na mwisho masterbation.

Niwe radhi wiki hii nitaposti issue mbili za Boko Harm then nitarudi huko kwenye mada yetu, ambapo tutakwenda hatua kwa hatua namna ubongo ulivyo athirika, then tutakuja kwenye nini ufanye kutoka hapo. Lakini tunaweza kufanya kitu kuibadilisha hii hali, soon tutaangalia ni vipi keep coming here.

Mm Nina hili tatizo Plz don't judge me but help By master nation you mean masturbation? Any way Si kweli kwamba haina nguvu za kiume, unazo tele tena za kutosha tu, kilichotokea ni kwamba sehemu fulani kwenye ubongo wako ambako kunahusika na suala zima la uume wako kusimama na kufanya kazi yake pameathirika kutokana na kutizama porno kwa muda mrefu na kuona vitu ambavyo binadamu wa kawaisa hawezi kufanya.

Sijakuelewa vizuri swali lako.

Vyakula 7 vizuri kwa kuongeza nguvu za kiume

Ispokuwa inaonekana unataka kuyaelezea matatizo mawili tofauti, yaani una matatizo mawili tofauti yenye kuhitaji tiba tofauti, kuhusu tatizo la kwanza yaani porno na masterbation please pitia tena posti zinazo husiana na somo hilo, suluhisho lake liko wazi, badilisha maisha yako, achana na porno na masterbation, uume wako utarudi katika hali ya kawaida, lakini hilo la pili, inabidi kuonana na mtaalam wa afya, na hasa specialist uelezee tatizo lako vyema nadhani utapata msaada unao hitaji.

Pole kiongozi. Tatizo lako ni moja tu, kwanza nikuulize je umepitia posti zote za blogi hii zinazohusiana na masuala ya picha za uchi?Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Nguvu za kiume pia siyo idadi ya mabao. Hilo ni mhimu kwanza ulielewe. Unaweza kwenda mabao hata manne na bado ukaonekana huna nguvu za kiume.

Kama unafika mpaka magoli manne na kila goli unatumia dakika 3 au 4 kufika kileleni basi tunaweza kusema wewe huna nguvu za kiume. Ila kama utaweza kwenda goli moja tu na likachukua dakika 10 au 15 au 20 hivi na kuendelea hakika tunasema wewe una nguvu za kiume.

Tunaamini muda huo umetosha kuweza kumfikisha mwenza wako kileleni. Wapo baadhi ya wanaume wanadhani ili umfikishe mwanamke basi unatakiwa umfanye kwa nguvu au kwa fujo sana utadhani ni ugomvi fulani hivi! Kila mwaka wasichana na wanawake wengi hutekwa na watu wasiojulikana sehemu mbalimbali duniani na baadhi yao hufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo vya kingono na hurekodiwa.

uti na nguvu za kiume

Kuna wanaume wakianza kazi hiyo ni kama vile mashine inakoboa mahindi yaani ni ugomvi mwanamke anabaki akiumia tu na kama hajuwi naye anabaki kuumia tu. Hata siku nyingine ukimhitaji atakataa kwa visingizio vingi sababu unamuumiza bila wewe kujua. Pole pole, kwa nguvu kidogo inapochanganya lakini siyo kwa fujo kama vile ugomvi.

Umeipata hiyo?! Kumbuka mwanaume lazima utafika kileleni hata iweje, hivyo ni jukumu lako kuhakikisha kabla hujawa na uwezo tena wa kuendelea na tendo la ndoa uwe umeona na una uhakika mke wako naye amefika kileleleni. Hivyo nguvu za kiume siyo idadi ya mabao, ni muda unaotumia kubaki hapo kifuani ndiyo mhimu na si idadi ya mabao.

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni. Linaweza kukutokea mara moja moja kwa mwezi au mara kadhaa kwa mwaka kwani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na uwezo wa kuchelewa kufika kileleni kila atakaposhiriki tendo la ndoa mwaka mzima.

Ingawa kama linakutokea kila mara mfulululizo kwa kipindi kirefu basi hapo ni lazima upate msaada wa tiba na ushauri juu ya vyakula na mazoezi. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 Kushuka chini.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo.

Vitu vingine vinavyoweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume ni pamoja na magonjwa kama vile ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la juu la damu. Asilimia 51 mpaka 61 ya wanaume wanaosumbuliwa na kisukari wanapatwa na tatizo la uume kushindwa kusimama vizuri.

Kadharika wagonjwa wa kiharusi na wale waliotekwa na ulevi nao ni miongoni mwa watu wanaoweza kupatwa kirahisi na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Walevi wengi wa pombe kwa mfano wanakabiliwa na tatizo la uzalishaji mchache wa mbegu za kiume manii. Wengine wenye hatari ya kupatwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni pamoja na wanaume wenye shinikizo la juu la damu, wenye matatizo ya tezi, waliowahi kufanya upasuaji katika viungo vya uzazi wakabaki na majeraha, watu wanaotumia dawa zenye kemikali kiholela bila kushauriwa na wataalamu na wale wanaougua maradhi yanayodhoofisha msukumo wa damu kwenda katika mishipa ya uume.

Umri wako 2. Utendaji wa tendo la ndoa kabla na baada ya kuugua 3. Afya yako kwa ujumla 4. Matatizo katika ndoa ikiwa kuna ugomvi wowote n. Nini sababu ya wewe kutaka kupona. Ni mhimu wewe kujisikia vizuri na kuwa na imani na daktari wako.

Kwa kufanya hivi utakuwa umepiga hatua nzuri kelekea kwenye ufumbuzi wa tatizo lako. Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenza wake.Post a Comment. Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.

Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani.

Hata hivyo uchunguzi wa hivi karibuni uliowahusisha wanaume wanaofika kliniki au kupata tiba za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume umeonesha kuwa, sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wanaweza kujiponya nayo bila hata kutumia vidonge wala dawa za miti shamba. Ingawa Matabibu wanataja magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya zinaa, unene wa kupita kiasi, umri mkubwa kuwa ndiyo chanzo cha wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume, lakini imebainika kuwa idadi kubwa ya wanaume wanaofika hospitalini kutafuta nguvu za kiume hawana magonjwa hayo Huu ni ushahidi kuwa wanaokabiliwa na janga hili wamebeba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kimawazo zaidi kuliko hali halisi.

Katika hali ya kawaida kila mwanadamu ameumbwa kwa njinsi yake na inapotokea kushabihiana basi ni bahati, lakini mara nyingi usawa hupatikana kwa mmoja kujifunza au kusaidiwa kufikia kiwango cha mtu anayemuhitaji kuwa nae katika maisha hasa ya kimapenzi.

Jambo hili wataalamu wanasema kuwa miili iko tayari kutii mafunzo na kubadilisha tabia zake kulingana na utashi wa mhusika. Tatizo kubwa lililopo kwa wapenzi wengi wanaolalamikia upungufu wa nguvu ni kwamba maisha yao wanayachezea kwenye viwanja vya wenzao wanaokutana nao katika vijiwe na sehemu za kazi.

Usikivu wa mazungumzo toka kwa wanaume wengine wenye uwezo wa kwenda mara nne hadi saba katika tendo au wanatumia dakika arobaini kufika kileleni umewafanya wanaume wengi kujihisi tu kuwa wao wanakasoro eti kwa kuwa huishia mara mbili au moja katika kufanya tendo.

Dhana ya kujiona ni mwenye kasoro inapojengeka akilini mwa mwanaume, huchipua hofu na hatimaye kumfanya ashindwe kabisa kusisimka anapofikiria au kukutana na mwanamke. Matokeo ya hangaiko la akili hushusha uwezo wa mwili na kumuongoza mtu kwenye kuwaza ugonjwa kisha kukimbilia hospitali au kwa waganga kutafuta tiba ya ugongwa ambao kimsingi hanao. Kwa kufahamu haya utagundua kuwa kukimbilia kutafuta tiba ya kumudu kwenda mara saba ni jitihada mfu kabisa zisizohitajika katika maisha ya mwanaume hasa ukizingatia kwamba wenye uwezo wa kufanya mapenzi mara nyingi hawakuzaliwa hivyo, bali walijizoeza kupitia mazingira ya malezi na makuzi yao.

Maana hawezi kuwa mzoefu wa raundi mvulana aliyelelewa katika mafundisho ya kukatazwa ngono na kulindwa hadi akakakua. Kadhalika hawi hodari wa kimapenzi msichana aliyefundishwa kujitunza, yote yatakayofuata kwa mvulana au msichana humea baada ya kupandwa na tabia chipukizi za ukubwani.

Kwa msingi huo mwanaume anajukumu la kuutengeneza mwili wake uwe katika staili aitakayo. Ndiyo maana kuna wengine hawamudu kulala bila kufanya ngono, hii ikiwa na maana kuwa wamejizoeza tu, si kwamba wameumbwa na nguvu hizo.

Labda ili kufikia kilele cha somo hili ni vema tukalejea matatizo matatu niliyosema hapo juu ili tujue ni jinsi gani tunaweza kuepukana nayo bila hata kumeza vidonge na tukawa wanaume wa mbegu kama wengi wenu mjuavyo. Kwa kuanza tuzungumzie Kukosa msisimko. Hapa tunatakiwa kuajitambua sisi wenyewe kwanza, tukijua historia na mazingira yetu ya kimapenzi. Kwa wanaume ambao wamebanwa sana kikazi na hufanya mapenzi mara moja moja, hukabiliwa na tatizo la kukosa msisimko kwa sababu miili yao imezoea.

Sasa ili kuifanya ichangamke lazima waanze kuirejesha kwa kufanya mapenzi mara kwa mara na kwa raundi chache.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya. Hivi karibuni nchini Tanzania kumeshamiri kwa uwepo wa matangazo mbalimbali ambayo mengine ni rasmi na mengine sio rasmi kuhusiana na dawa za asili haswa za kuongeza nguvu za kiume lakini sasa serikali ya nchi hiyo imethibitisha matumizi ya dawa tano za asili.

Huku miongoni mwa dawa hizo ni dawa ya 'Ujana' ambayo kazi yake ni kusaidia kuongeza nguvu za kiume wakati dawa nyingine zikiwa Sudhi, Vatari, IH Moon na Coloidal Silver ambazo kazi yake ni kukemea vimelea mbalimbali.

Baraza la dawa nchini humo limesema hatua hii imekuja baada ya uchunguzi wa kina uliofanywa na kubaini kuwa dawa hizo hazina madhara kwa afya ya binadamu hivyo hawana budi kuzikubali. Aidha Paul Muhame ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa dawa za asili nchini Tanzania anasema baada ya baraza kupitisha vigezo vyote vilivyohitajika kutoka katika dawa hizo na mamlaka ya dawa na chakula wamethibitisha hilo. Aliongeza kwa kusema kwamba jukumu lao zaidi ni kuangalia usalama lakini sio dawa inatibu kwa kiwango gani.

Uthibitisho wa dawa hizo umeleta mijadala mbalimbali katika vipindi vya radio nchini humo haswa katika upande wa serikali kuthibitisha dawa ya nguvu za kiume kuuzwa kihalali. Kahawa ya kipekee kwa ngono. Habari Michezo Video Vipindi vya Redio. Dawa tano za asili zaidhinishwa Tanzania 14 Machi Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Dawa za asili maarufu kama 'miti shamba' Hivi karibuni nchini Tanzania kumeshamiri kwa uwepo wa matangazo mbalimbali ambayo mengine ni rasmi na mengine sio rasmi kuhusiana na dawa za asili haswa za kuongeza nguvu za kiume lakini sasa serikali ya nchi hiyo imethibitisha matumizi ya dawa tano za asili.

Mada zinazohusiana Dawa Afya Tanzania. Rejea mwanzo wa ukurasa.Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila mtu, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa matatani, usiwe miongoni mwa watu wenye upungufu wa nguvu za kiume, yote hayo utayaepuka kwa kufuata ushauri huu ulio badili maisha ya watu wengi na bado elimu hii inaendelea kutoa shuhuda kwa kila mtu aliyekuwa na tatizo hili.

Kwa kawaida binadamu hastahili kuzeeka na magonjwa, tunazeeka na magonjwa kwa sababu tunayasababisha sisi kwa maisha ya kifahari tunayoishi na kusahau kuwa afya yako sio hazina ya milele,unatakiwa kuiheshimu,kuilinda na kuimarisha ili uje ufurahie uzee wako usio na magonjwa.

Najua kuwa hadi sasa ukifanya tafiti vijana wa umri wa miaka 20 hadi 30 ndio wanao ongoza kwa kusumbuka na matatizo haya ya nguvu za kiume tofauti na matarajio yetu wote kuwa tatizo hili tunasoma kuwa linawapata wazee, swali la kujiuliza kwa nini sasa vijana tena katika umri mdogo?

Ndio maana nimeamua kukuandikia Makala hii ambapo kama ni miongoni mwa watu wanaosumbuka hili tatizo nina uhakika tatizo lako utapata suluhisho kutokana na elimu hii rafiki yangu. Kwa nini usumbuke na matatizo kama haya wakati msaada wako upo?

Usiendelee kusumbuka na tatizo hili kwani umeumbiwa maisha ya furaha na Mungu ni haki yako kufurahia uumbaji wa Mungu, anza leo kushughurikia tatizo kabla halijawa sugu mpendwa msomaji wa Makala hii. Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya Testosterone ambavyo hutolewa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali tulivu,kuondoa msongo,kuondoa mstuko wa aina yoyote ,kuimarisha uwezo wa kufikiri,kuimarisha furaha ya mwili wako na hatimaye kuimarisha nguvu za kiume na hatimaye kufurahia tendo la ndoa.

Kazi kubwa ya kichocheo hiki ni kuhakikisha mwili wako unakuwa katika hali tulivu kabisa kwa kuutuliza ubongo wako ndipo utafurahia ndoa yako. Napenda leo nieleze kwa kina kidogo namna gani nguvu za kiume zinapotea kutokana na mvurugiko wa vichocheo hivyo vikuu vitatu kama nilivyo vitaja hapo juu.

Mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume

Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa. Lakini pia ijulikane kuwa kichocheo hiki cha testosterone sio kwamba kinapatikana kwa wanaume tu, la hasha!

Kichocheo hiki hata wanawake wanacho ingawaje kwa kiwango cha chini sana, endapo kinapokuwa kimepungua kinaweza kumsababishia mwanamke kukosa matamanio kwa jinsia ya kiume wakati wa tendo la ndoa, kukosa nguvu ya misuli ya kuhimili tendo la ndoa Kuchoka Sana ,kuongezeka uzito kupita kiasi na nyama uzembe pia kupunguza uwezo wako katika kufikiri na kumbu kumbu.

Moja ya kisababishi kikubwa cha testosterone kushuka kiwango chake ni kwa sababu ya kuwepo na kizuizi cha insulin insulin resistance hii inafanya kiwango cha insulin kuwa juu sana na kusababisha testosterone kushuka kiwango chake. Moja ya sababu zinazo sababisha kiwango cha insulini kuwa juu sana ni unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda na pia ulaji wa vyakula vyenye vionjo mbalimbali vitamu vilivyotengenezwa viwandani.

Hivyo basi sukari inapokuwa ipo katika kiwango cha juu sana kwenye damu inasababisha utolewaji wa insulin kuwa katika kiwango cha juu pia kwenda kusawazisha sukari irudi kawaida. Hivyo basi matumizi ya vyakula na vinywaji vya sukari nyingi vinafanya mwili upate kizuizi katika utendaji kazi wa insulin na hatimaye testosterone pia kushuka kiwango chake. Najua umejifunza sasa kwa nini watu wanaotumia vyakula vya viwandani,vinywaji vya sukari nyingi,ulaji wa vyakula vyenye mafuta mabaya jinsi gani inasababisha vichocheo vyako kushuka kiwango na unaendelea kusumbuka sana.

Napenda kukuambiwa kuwa siku zote watu hawaogopi vyakula vyenye sukari wanaogopa vyakula vyenye mafuta mengi, hio ni fikra potofu sana! Usihofu kama una tatizo hilo ujue tayari umeshaathiriwa na ulaji wa vyakula na vinywaji hivyo.

Tafadhali Usitumie Dawa hii kama huna Mke

Hiki ni kichecheo ambacho hutolewa na kongosho lako ili kwenda kusawazisha kiwango cha sukari mwilini mwako. Kazi kubwa wa maji haya ya insulin ni kuhifadhi nishati ya mwili kwa matumizi ya baadae pale mwili unapokuwa una nishati ya kutosha na hautaki kupoteza nishati ya ziada. Sasa inapotokea kiwango chako cha ulaji wa vyakula vya sukari ni kikubwa sana ndivyo kiwango kingi cha insulin kitatengenezwa na kumwagwa kwenye mzunguko wa damu kwenye kuhifadhi sukari ya ziada ambayo haitumiki wakati ule na hatimaye kusazisha kiwango cha sukari mwilini mwako.

Kazi ya insulin sio kushusha sukari kama wengi tunavyofundishwa darasani! Kwa nini nasema hivi? Kazi ya insulin ni kuhifadhi nishati ya ziada kwa matumizi ya baadae na hivyo basi kupungua kwa sukari ni matokeo ya kazi ya insulin mwilini mwako. Umeingia katika chumba ambacho umekuta harufu mbaya sana ya deodorant spray au perfume punde tu utakapo ingia katika chumba hicho utasumbuka sana na harufu hio kwa muda mfupi na hatimaye unaizoea na kuona ni harufu ambayo haina madhara wala usumbufu kwako.

Huu mfano utakusaidia kujua kwa nini tunasema insulin yako imeshindwa kufanya kazi, na umepata kizuizi katika utendaji kazi wake. Nimesema insulin hutolewa kwa kiwango kikubwa sana kulingana na kiwango cha sukari mwilini mwako, kiwango hiki kingi cha insulin kwenye damu kwa muda mrefu inaweza kupelekea insulin kupoteza kazi yake kiuhalisia. Na pia kitu kingine ambacho kinaweza kupelekea insulin kutofanya kazi ni vipokea insulin kutoitikia kwa sababu ya mafuta mabaya kuleta kizuizi katika vipokezi vya insulin.

Hivyo basi ukiangalia katika maelezo haya utagundua kuwa ulaji wa vyakula na vinywaji vingi vya sukari vinasababisha kiwango cha insulin kuwa juu muda wote ambapo nacho kinapelekea vichocheo vya kiume kushuka na hatimaye unakumbwa na matatizo ya kukosa matamanio kwa jinsia tofauti,msongo wa mawazo,misuli kukosa nguvu muda wote umechoka,uzito kuongezeka kwa kasi sana na wengine hupelekea kumilki vitambi. Pia kiwango kingi cha insulin kwa muda mrefu kwenye damu kinaweza kupelekea kupata nywele usoni kwa wanawake,mwanaume kuishiwa vinyweleo sehemu kama kifuani,tumboni na maeneo mengine mengi.

Hiki ni kichocheo cha pekee sana na huwa napenda sana kukizungumzia kwani kinaonesha jinsi gani binadamu alivyo umbwa kwa kutumia teknolojia ya uhandisi wa hali ya juu.

uti na nguvu za kiume

Hiki ni kichecheo ambacho kinatengenezwa na seli zinazohifadhi mafuta ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye misuli kazi yake kubwa ni kupeleka ujumbe kwenye ubongo katika kuendesha hamu yako unapokuwa una chakula mbele yako, na ubongo huitikia kwa kutoa taarifa ya kutosheka na chakula kwa kujihsi umeshiba na huwezi tena kuendelea na chakula. Sasa basi ulaji wa vyakula vingi bila mpango vyenye sukari nyingi unasababisha seli za kuhifadhi mafuta FAT CELLS kutengeneza kwa wingi leptin ili kwenda kutimiza kazi yake.

Kiwango cha insulin na leptin hupanda kwa pamoja kama mapacha vile. Hawa ndio watu wengi ni wahanga wa muda wote wanapenda kula vyakula vitamu vitamu tu, hamu haiishi Sugary addicted,sugar craving na wengi huishia kupata matitizo ya kiafya kama kuishiwa nguvu za kiume,uzito kupita kiasi,kitambi na kuishiwa nguvu kabisa ya misuli yote haya ni kwa sababu kiwango kingi cha leptin na insulin kinashusha vichocheo vyako vya testosterone.

Hiki ni kichocheo ambacho hutolewa na mwili pale unapokuwa katika hali yoyote ya mstuko ili kwenda kukabiliana na mshtuko huo. Mfano labda mimi nilikuwa natembea njiani ghafla nikaona nyoka huyo mkubwa chatu. Mwili utastuka sana na kutoa vichecheo vinavyo enda kupambana na hio hali iliyoshtua mwili wako, mfano cortisol huenda kuongeza kiwango cha nishati ya mwili glucose kwenye damu na kuwa na nguvu ajabu ya kumkimbia adui yako aliyepo ,mbele yako. Cortisol pia hutolewa hata kama mwili wako umekabiliwa na mstuko ndani kwa ndani mfano,sukari mwilini imepungua mwili unatoa cortisol ambayo kazi yake kubwa ni kubadili ile nishati iliyokuwa imehifadhiwa katika mfumo wa glycogen kwenye misuli na ini kuwa sukari na hatimaye kuongeza sukari mwilini mwako.